Tuesday, June 30, 2020

Yanga yatinga nusu fainali Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC)

Yanga yafanikiwa kutinga nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) baada ya kuipiga Kagera Sugar bao 2-1 katika dimba la Taifa jijini Dar Salaam.

Magoli ya Yanga yalifungwa na Molinga dakika ya 52, Kaseke dakika ya 76 kwa mkwaju wa penati na lile la Kagera lilifungwa na Awesu dakika ya 20.

FT: Yanga SC 2-1 Kagera Sugar.

No comments:

Post a Comment